Home >                  	Term: kusawazisha tiketi  
kusawazisha tiketi
Wakati mgombeaji ameshinda uteuzi kugombea urais kwenye chama chake, ana jukumu la kumteua "mgombea-mwenza" ambaye atakuwa makamu wa rais iwapo mgombeaji atashinda kwenye uchaguzi. Wawili hao wanarejelewa kama "tiketi".
wagombeaji hushauriwa kumteua mgombea mwenza ambaye "anasawazisha tiketi"-kumaanisha, yule ambaye sifa zake huchangia kusuluhisha udhaifu wa mgombea.
- Part of Speech: noun
 - Industry/Domain: Government
 - Category: U.S. election
 - Company: BBC
 
 			0   			 		
 Creator
- Jonah Ondieki
 - 100% positive feedback
 
(Nairobi, Kenya)