Home >                  	Term: mfuatilizi  
mfuatilizi
Watu ama wanaojitolea kutimika na wanasiasa au vyama ili kuhifadhi shughuli za mahasidi wao. Wafuatilizi mara nyingi huwafuata wapinzani wa wanasiasa wao wakiwa na vifaa vya kurekodi-kamera za video,vinasa sauti n.k.-ili waweze kuwafahamisha wanasiasa wao kuhusu kinachosemwa ama kuahidiwa na kuhifadhi makosa, fedheha ama uongo.
- Part of Speech: noun
 - Industry/Domain: Government
 - Category: U.S. election
 - Company: BBC
 
 			0   			 		
 Creator
- Jonah Ondieki
 - 100% positive feedback
 
(Nairobi, Kenya)